Panya walikuwa wamejificha shimoni hadi paka alivyoondoka sasa ndio wanatoka ndani ya shimo wanakula mahindi yaliyohifadhiwa stoo na mbaya zaidi wanakunya huko hukoHuyu Mzimbabwe Wicknell Chivayo mbona ghafla sana? Kutwa anacheza kwenye viunga kama kwake. Hivi alikua wapi enzi za Mjomba Magu?
Umetumia lugha laini kidogo, Jiwe alisema utaitoa hiyo pesa kupitia kila tundu.Mzilankende alisema ukila pesa bila kufanya kazi uliyopewa utazitapika kwa namna yoyote
Magu kibokoKwa akili za Magufuli angeweza hata kumkamata iwapo angeingia kwenye 18 zake. Singasinga na Rugemalila hawatokuja kumsahau Mgufuli maisha yao yote.
Magufuli hakucheka na nalofaHuyu Mzimbabwe Wicknell Chivayo mbona ghafla sana? Kutwa anacheza kwenye viunga kama kwake. Hivi alikua wapi enzi za Mjomba Magu?
Huyo jamaa ni mwizi , tapeli anajifanya mwekezajiHuyu Mzimbabwe Wicknell Chivayo mbona ghafla sana? Kutwa anacheza kwenye viunga kama kwake. Hivi alikua wapi enzi za Mjomba Magu?
Gentlemanuko sahihi gentleman 🤝
Rugemalila ni fisadi sana.kafisadi pesa za umma lakini akasafishwa na serikali haramu ya awamu ya sita kwa kuwa ni ya kifisadi kama yeye.Kwa akili za Magufuli angeweza hata kumkamata iwapo angeingia kwenye 18 zake. Singasinga na Rugemalila hawatokuja kumsahau Mgufuli maisha yao yote.
Mwambie tuko hapa tuna msema.Unaambiwa kuna afisa patrol mtandaoni ameekwa kwaajili yakujua nani na nani wanasema nini juu ya Wicknel.
Kipindi hicho,hakuwepo mjane! Sasa kuna mjane,jimbo liko waziHuyu Mzimbabwe Wicknell Chivayo mbona ghafla sana? Kutwa anacheza kwenye viunga kama kwake. Hivi alikua wapi enzi za Mjomba Magu?
VIONGOXI WAISLAMU WA TANZANIA NI UCHAFU MKUBWA SANA ..NIKOSA KUBWA SANA KAMA TAIFA KUWAPA UONGOZI WAISLAMU HASWA WANAO AMINI KATIKA UISLAMU SIYO WAISLAMU MAJINA...HAWA WAISLAMU MAJINA SIYO TATIZO.Huyu Mzimbabwe Wicknell Chivayo mbona ghafla sana? Kutwa anacheza kwenye viunga kama kwake. Hivi alikua wapi enzi za Mjomba Magu?
hapana,Gentleman
Chama Kile Kimepasuka Vipande 7
Mad man on airMAGUFULI ALIKUWA WAPI ENZI ZA NYERERE?
Ametumia uthaifu wa mamlaka kupitisha ajenda zake na kwa vile CCM yamejaa mang'ombe hayaelewi chochoteHuyu Mzimbabwe Wicknell Chivayo mbona ghafla sana? Kutwa anacheza kwenye viunga kama kwake. Hivi alikua wapi enzi za Mjomba Magu?
Kuna siku mjombako alisema hivi, "Kuna kikundi cha watu wachache wanataka kunipangia cha kufanya, Mimi nawaambia sipangiwi, Mimi ni Rais jiwe kweri kweri"
Sikumbuki ilikuwa kwenye inshu Gani alipotoa kauli hiyo, na sijui kama inahusiana na unachouliza.
Kwa mwili ule na mademu utamsingizia tu....atawafanya nini na unene wote ule?? Sema jamaa ni mtu wa deals kweli kweli na anajua kucheza na sheria za nchi....ukute ndo master wa kusimamia masuala ya pesa na ma deals ya viongozi kama alivo Abromovic kule Russia.Huyu jamaa ni tapeli haswa na ameishaoamatwa kwa utakatishaji wa fedha
Ni mtu wa anasa sana na mpenda madem, na mpenda magari ya kifahari na kuingilana na wanyonge anaowapata
Kwa mjomba picha zisingeenda
Tena watu wake Magu wangemfanya kama wale mawakili wa jirani 😂Kwa akili za Magufuli angeweza hata kumkamata iwapo angeingia kwenye 18 zake. Singasinga na Rugemalila hawatokuja kumsahau Mgufuli maisha yao yote.
ana makampuni yake kwa mfano IntratrectKwa mwili ule na mademu utamsingizia tu....atawafanya nini na unene wote ule?? Sema jamaa ni mtu wa deals kweli kweli na anajua kucheza na sheria za nchi....ukute ndo master wa kusimamia masuala ya pesa na ma deals ya viongozi kama alivo Abromovic kule Russia.