Wanakula, wanakunya na kelele wanapiga hakuna wa kuwaondoa, stoo ni ya kwao...Panya walikuwa wamejificha shimoni hadi paka alivyoondoka sasa ndio wanatoka ndani ya shimo wanakula mahindi yaliyohifadhiwa stoo na mbaya zaidi wanakunya huko huko
Ulikuwa mradi wa Solar akapewa $5m akaweka mfukoni mwaka mzima anakula bata tuJamaa alikuwa kapiga , alikuwa anajisaka. Amekuja kutoboa kuna kesi ya mikataba alishinda kutokea hapo ndio kama mnavyo muona leo.. ukiangalia picha zake za zamani analala kiberiti 😅
Kuna mradi mwingine tofauti na hiyo. Jamaa utajiri wake wa miujiza miujiza. Ukiachana na mengine, jamaa anakula na watu sio mchoyoUlikuwa mradi wa Solar akapewa $5m akaweka mfukoni mwaka mzima anakula bata tu
Ndio akakamatwa
Na huu mchongo wa Serengeti wa $200m sijui ameishavuta helaKuna mradi mwingine tofauti na hiyo. Jamaa utajiri wake wa miujiza miujiza. Ukiachana na mengine, jamaa anakula na watu sio mchoyo
😅😅 michongo ya kimkakati huwa hela kwanza, mengine yanafatiaNa huu mchongo wa Serengeti wa $200m sijui ameishavuta hela
Itakuwa tayari
Naona kaishazipitia Ndio maana safari haziishi huku😅😅 michongo ya kimkakati huwa hela kwanza, mengine yanafatia
jamaa ni mzuri sana kwenye kufanya robbing na hana mkono mfupi, ana mwaga pesa ile mbayaNaona kaishazipitia Ndio maana safari haziishi huku
Jamaa mjanja mjanja sana
Anagawa magari kama anagawa pipi kwa watotojamaa ni mzuri sana kwenye kufanya robbing na hana mkono mfupi, ana mwaga pesa ile mbaya
Na sio gari za kitoto jamaa anagawa hizo G63 AMG , RR Ghost RR kama njugu, hizo LC300 amezigawa sana .. kaamua kuacha legacy yake na hela alizopata. Na amaikatama serikali yao na ana uwekezaji wa maana licha ya deal zake.. jamaa kacheza na fursa na upepo.Anagawa magari kama anagawa pipi kwa watoto
Jamaa alikuwa kapiga , alikuwa anajisaka. Amekuja kutoboa kuna kesi ya mikataba alishinda kutokea hapo ndio kama mnavyo muona leo.. ukiangalia picha zake za zamani analala kiberiti 😅
Umetumia lugha laini kidogo, Jiwe alisema utaitoa hiyo pesa kupitia kila tundu.
😂😂 ana pepo la helaNa sio gari za kitoto jamaa anagawa hizo G63 AMG , RR Ghost RR kama njugu, hizo LC300 amezigawa sana .. kaamua kuacha legacy yake na hela alizopata. Na amaikatama serikali yao na ana uwekezaji wa maana licha ya deal zake.. jamaa kacheza na fursa na upepo.
jamaa ame win kutengeza network ya nguvu. Hapo hela ina mkimbiza yeye tuu 😅😂😂 ana pepo la hela
Eswatini pia amepata madili
Aliitoa wakati anapokea ndege moja ya air tanzania.Kuna siku mjombako alisema hivi, "Kuna kikundi cha watu wachache wanataka kunipangia cha kufanya, Mimi nawaambia sipangiwi, Mimi ni Rais jiwe kweri kweri"
Sikumbuki ilikuwa kwenye inshu Gani alipotoa kauli hiyo, na sijui kama inahusiana na unachouliza.
Tunazungumzia Waliomziba Mdomo Yuda Bila Kufuata Taratibuhapana,
ni vipande viwili tu gentleman.
ni upande wa lema na upande wa heche.
wengine ni kanyaga twende bora liende, wafuata mkumbo 🐒
Enzi za Nyerere na kumuhusisha Magu zinaendana na za Samia kumhusisha na huyu mzimbabwe!?MAGUFULI ALIKUWA WAPI ENZI ZA NYERERE?
We jamaa unakuaga fala sana na hanithi kuhusisha dini na uongozi.VIONGOXI WAISLAMU WA TANZANIA NI UCHAFU MKUBWA SANA ..NIKOSA KUBWA SANA KAMA TAIFA KUWAPA UONGOZI WAISLAMU HASWA WANAO AMINI KATIKA UISLAMU SIYO WAISLAMU MAJINA...HAWA WAISLAMU MAJINA SIYO TATIZO.
Wewe ni Muslim?We jamaa unakuaga fala sana na hanithi kuhusisha dini na uongozi.
Kassim Majaliwa ni miongoni mwa viongozi bora na ni muislam. Pia usimsahau Ally Hassan Mwinyi Mungu amrehemu.
Hao wakristo unaotaka kuwasifia kuna mpuuzi wa kuitwa MKAPA ambaye aliuzorota uchumi kwa kubinafsisha mali za serikali nyingi tu matako wewe.