masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
View attachment 3682783View attachment 3682784
Abarikiwe mzungu aliyegundua mitandao.
Ukweli sasa huwezi uficha uvunguni.
Twaona salamu za rambirambi zikimiminika kwenda kwa msiba huu kwa mtu ambaye miradi yake humu nchini wala hatuifahamu.
Wicknell Chivayo si mplipa kodi Tanzania au Kenya.
Kazi yake sasa iko wazi.
Umegonga Kwenye Ugoko Maumivu YakeHalfu wabasema tuna TAKUKURU, Polisi, TISS.
IKULU zinachezewa wao kimya kama mbwa koko.
Tungepata tamko la Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali, TAKUKURU na TRA.Umegonga Kwenye Ugoko Maumivu Yake
Wao Wanakenua Meno Tu Nchi Inadoda
Nimeandika Humu Mstari Mmoja TuTungepata tamko la Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali, TAKUKURU na TRA.
πππView attachment 3682783View attachment 3682784