wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Kwa nini mkuu?Nisipokuwa makini leo inaweza kuwa mwanzo wa kunywa pombe
Sio hao wazimbabwe tu, hata wale wengine wanaovaa rangi ya njano nao walishakula nne..Daaaa, huo udhulumati mlio wafanyia wazimbabwe mtaulipia mara5
Kunywa tu utatubu mbinguni kama nyumbani ni dhambi.Nisipokuwa makini leo inaweza kuwa mwanzo wa kunywa pombe
Daaaa, huo udhulumati mlio wafanyia wazimbabwe mtaulipia mara5