Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Semester ya kwanza pale UC Berkeley ilikuwa na misukosuko tosha. Kitabu kigumu hatari. Ugali hakuna. Najitahidi kuzoea nipate apartment nzuri niilete pisi yangu (Nilikuwa na full scholarship everything covered !) Hata wazo la kutafuta mbususu hakuna. Bado nahangaika ku-adjust napata habari pisi imeolewa...na mimba yangu. Kilikuwa kipindi kigumu sana aisee. Wanawake we waone tu hivi hivi 😡😡😡🚮Mkuu, wewe wakati upo masomoni huko mambele hukutafuta mpango wa kando? Winter kali sana.
naunga mkono hojaFamilia zenye migogoro hazina hata umuhimu kabisa kwa mtoto,ni ujinga tupu hata awe mkubwa ni yale yale ,kuna kipindi anapitia changamoto...Mambo ya familia hasa watoto siyataki kwa sababu nayaelewa maisha ya kijinga niliyopitia .. Wazazi ni wabinafsi sana ,nawachukia sana watu wabinafsi ...Nimeshangaa kuona watu bado wanasherekea hayo mambo ya Mother's day ni ujinga kabisa.
😂😂😂😂😂 ila Wizzoo. LolUmenikumbusha stori ya BICHWA KOMWE, alizamia mamtoni halafu akamuacha mumewe KINONDONI.
Baadaye lile jamaa la KINONDONI likakata mirija yote ya fedha kwa BICHWA KOMWE, basi ikabidi BICHWA aolewe na VIKONGWE wa marekani ili kujikimu kimaisha.
Baadaye akatimuliwa akarudi kwao KIMANZICHANA.
Kitu pekee anachojitapa nacho ni kukutana na Nyani Ngabu Los Angeles na kupewa ofa ya BIA na MIGUU YA KUKU.
Cc: Lamomy Mbaga Jr secretarybird Extrovert cocastic
Poleeee gran pah.Semester ya kwanza pale UC Berkeley ilikuwa na misukosuko tosha. Kitabu kigumu hatari. Ugali hakuna. Najitahidi kuzoea nipate apartment nzuri niilete pisi yangu (Nilikuwa na full scholarship everything covered !) Hata wazo la kutafuta mbususu hakuna. Bado nahangaika ku-adjust napata habari pisi imeolewa...na mimba yangu. Kilikuwa kipindi kigumu sana aisee. Wanawake we waone tu hivi hivi 😡😡😡🚮
Dawa ya jeuri nikukata mrija unao mpa jeuri watoto waende kwa bibi yao kwa muda fln kama ni wakubwa afanye mpango waende boading tu shule nzuri hata ya m6 kwa mwaka uwezo huo anao mkuuNyie wakuu mnataka jamaa hasihudumie familia yake,. Kumbuka ana watoto wawili.
Kawaida tu mjukuu. Hujafa hujaumbika mjukuu. Ila ilikuwa pisi hasa 😭😭😭Poleeee gran pah.
Khaaah! Gran pah, uchokozi huo. Umeitoa wapii?
Ninazo nyingi!Khaaah! Gran pah, uchokozi huo. Umeitoa wapii?
Kuna mtu akiona hii, kitaumana humu ndani.
😂😂😂😂😂😂
Punguza Hela ya kutuma Kwanza....alafu kuna kanuni tunaita"Follow,unfollow" yaani usitabirike Ndio mtawezana ...Salaam,
Niende kwenye mada hapo juu Mimi niko America toka 2023 nabeba box, awali ilikua kila siku wife anapiga tunaongea hata mda mfupi wa break (naingia night shift)sasa hiv mpk mimi ndo nipige simu.
Mbaya zaidi weekend hii imepita hatujaongea hajali, tatizo kubwa lilianza pale alipotembelewa na dada aliyenitambulisha ni mamdogo mimi ndugu zake wote siwajui, nifanyeje?
Sitaki hii familia isambaratike tuna watoto wawili na kila mwez natuma 1.4 matumizi, wanakaa nyumba nzuri peke yao, wazazi wapo mkoa mwengine.
Huyu mamdogo nimefukuza kesho anasepa, hata hapa sa hivi wife hapokei simu.
Ushauri please!!
Shouzz alinoga hapa, shape km loteee.
Unachohisi ww kipo sahihi kabisa kwa mke wako kuwa anamegwa si unajua mtu akianza kumpumulia kisogoni lazima Upendo na Heshima uelekee kwa hilo jamaa asilimia 100Salaam,
Niende kwenye mada hapo juu Mimi niko America toka 2023 nabeba box, awali ilikua kila siku wife anapiga tunaongea hata mda mfupi wa break (naingia night shift)sasa hiv mpk mimi ndo nipige simu.
Mbaya zaidi weekend hii imepita hatujaongea hajali, tatizo kubwa lilianza pale alipotembelewa na dada aliyenitambulisha ni mamdogo mimi ndugu zake wote siwajui, nifanyeje?
Sitaki hii familia isambaratike tuna watoto wawili na kila mwez natuma 1.4 matumizi, wanakaa nyumba nzuri peke yao, wazazi wapo mkoa mwengine.
Huyu mamdogo nimefukuza kesho anasepa, hata hapa sa hivi wife hapokei simu.
Ushauri please!!
Jaman huyu nani 😂😂 🙂↕️
Zamani nilikuwa na mawazo kama yako ila sasa hivi ikitokea akasema kila mtu achukue njia yake niko tayari.Sawa nifanyaje?watoto bado wadogo wataenda wapi?ukweli naumia hajui ugumu wa kutafuta pesa nataman aungie mtaani aone kama hata laki ataipata, nawaza hao watoto mimi nililelewa na bibi sitaman watoto wapitie hayo. Au nawaza nimpeleke dar wakakae nyumbani kwetu kuna nyumba ya uwani chumba kimoja , jiko na choo.
Nahitaji msaada, tuliishi vizur pamoja nikaondoka kwa maamuz yangu ingawa nilimshirikisha mwishoni kabisa baada ya kupata visa sitaki tuachane juu kwa juu nahitaji kweli nitulize akili.
Uko na hela za kuchezea mkuu na mwaka utakapoachishwa kazi jiandae kufa na presha maana hatoweza kukaa na wewe bila hela ndefu atakukimbia ndani ya mwezi mmoja wa kwanza kwenda kwa wanaume wengine wenye pesa.Kodi, matumiz yake na msosi .