Hapo dili na mkeo tu. Yeye ndo aliyekula yamini ya kuwa muaminifu kwako.
Huyo kwa vile umemjua, anatongozwa na wangapi na pengine anawakubalia na huwajui?? mwanamke hatoacha kutongozwa, mweke mkeo sawa na mtunze kisawasawa...! na watch out,mara nyingi wale wanaume anaokuambia wamemtongoza pengine hawana kitu kinachomvutia au pengine yeye ndo kajipeleka...tumia hekima, ww deal na mkeo!
kuna ka mtihani kananiumiza kichwa kidogo...
kuna jamaa amehamia hapa mtaani kama mwezi mmoja hivi.
baada ya wiki wife akaniambia huyu jamaa anamsumbua kwa kumpigia simu za kumtaka...
nikamwambia aachane nae.
sasa jana nimeshika simu ya wife nimekuta kuna sms za kumtukana jamaa. sasa nipo sielewi nimuadhibu wife kwa kuendelea kuwasiliana na jamaa au nimuadhibu jamaa kwa kutaka kuharibu nyumba yangu.
NIPO NJIA PANDA
anamwambia asimsumbue yupo na mume wake, lakini si nilimwambia aachane nae?!
Na pia ajitumeHuyo kwa vile umemjua, anatongozwa na wangapi na pengine anawakubalia na huwajui?? mwanamke hatoacha kutongozwa, mweke mkeo sawa na mtunze kisawasawa...! na watch out,mara nyingi wale wanaume anaokuambia wamemtongoza pengine hawana kitu kinachomvutia au pengine yeye ndo kajipeleka...tumia hekima, ww deal na mkeo!
Inaniumiza kichwa sana hii kitu
ushauri wenu unahitajika nini nifanye