Mwalimu JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 1,585 Reaction score 1,073 Jan 28, 2010 #1 [ame]http://www.youtube.com/watch?v=EDNSybUN1w4[/ame] Hii kali!
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 Jan 28, 2010 #2 ah ni kituko feki; watu kutaka kupata umaarufu; ina miaka ka 2 kwenye net hii
Pape JF-Expert Member Joined Dec 11, 2008 Posts 5,487 Reaction score 83 Jan 28, 2010 #3 huyu m/mke inabidi akafundwe unyago tena....
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Jan 28, 2010 #4 Hivi 'baunsa' maana yake nini?
Pape JF-Expert Member Joined Dec 11, 2008 Posts 5,487 Reaction score 83 Jan 28, 2010 #5 Omega Psi Phi said: Hivi 'baunsa' maana yake nini? Click to expand... mbeba vyuma! mkorofi...anadunda watu...
Omega Psi Phi said: Hivi 'baunsa' maana yake nini? Click to expand... mbeba vyuma! mkorofi...anadunda watu...
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Jan 28, 2010 #6 Pape said: mbeba vyuma! mkorofi...anadunda watu... Click to expand... Hiyo maana umeitoa wapi? Kwenye kamusi? Na kama umeitoa kwenye kamusi, ni kamusi ipi hiyo?
Pape said: mbeba vyuma! mkorofi...anadunda watu... Click to expand... Hiyo maana umeitoa wapi? Kwenye kamusi? Na kama umeitoa kwenye kamusi, ni kamusi ipi hiyo?