Wife and Girlfriend

Wife and Girlfriend

100 % , especially the last three lines.
 
Hii ilishawekwa humu ....wajameni muwe mnaingia humu mara kw mara basi kuepusha kurudia rudia topics....
 
tatizo "search" button ya JF haifanyi kazi...hata huwezi kujua kama topic ipo hau haipo....usipoingia JF dakika tano tu, tayari ushapitwa na mambo kibao. na si wengine hatuna muda wa kucheck JF kila sekunde tano.
 
Mmmmmmh kwa hiyo watu wachague kuwa magelo frend tu au!!!
Manake sasa TV haibebeki every where!!
 
This also applies to
Husband = TV
Boyfriend = Mobile
 
TV NDO NZURI HAINA GHARAMA SANA....:laugh:
 
Sawa bwana at the end of the day ukifa kimobitel chako atakirithi huyohuyo mkeo kwa hiyo atakuwa na tv na mobitel teheteh kwikwikwi
 
Back
Top Bottom