Wife Chopped Off Husband's What?

Wale walikuwa John na Lorena Bobbit...ila waliiwahi wakaipeleka hospitali ikaunganishwa tena na jamaa akaja kucheza filamu ya pono.....teh teh teh....I guess wife aliona kapatia mwenyewe kumbe wapi.
Hahahahaha loohhhuyo jamaa alikiwa kiwembe..Afadhali ya huyu (Bobbity) waliipata.Duhhh huyu mwingine yake imesagwa kabisa...Kuna watu wanyama kwa kweli lohhh
 
NN nilikuwa najaribu kufikiria ukimwamga tindikali kwenye kimkojo downloader madaktari itabidi wafanye kazi ya zaidi maana ukiangalia na maumbile yake kurudisha hali iliyokuwepo mwanzoni itakuwa ishu.

Huruma ya nini wakati wewe mali yako ishaharibiwa milele? Hivi unafikiri hata ikiwa re-attached itakuwa kama ilivyokuwa pre-chop off? Asilani abadani.....

Na unajua uharibifu ambao tindikali inaweza kufanya. Utahitaji mabingwa wa plastic surgery toka Beverly Hills na hao hawatairudisha kama ilivokuwa awali....teh teh teh.....
 
Hahahahaha loohhhuyo jamaa alikiwa kiwembe..Afadhali ya huyu (Bobbity) waliipata.Duhhh huyu mwingine yake imesagwa kabisa...Kuna watu wanyama kwa kweli lohhh

Kheeee kumbe ya huyu imesagwa kama ki hot dog? Ahahahahaaaaa.....pole ndugu uliyepoteza mali yako muhimu ana maishani.
 
NN nilikuwa najaribu kufikiria ukimwamga tindikali kwenye kimkojo downloader madaktari itabidi wafanye kazi ya zaidi maana ukiangalia na maumbile yake kurudisha hali iliyokuwepo mwanzoni itakuwa ishu.

kwa sisi wakemia,kuna tindikali unaweza ukaimwagia hiyo kitu,
na hatimaye kukaziba kabisa......................yaani ule mfereji kwishney ..............
 
Sio kuogopa......we all make mistakes....sasa hizi adhabu za kuharibu......What if you are wrong...surely you can't reverse the chopping......
WellI'm sure you can get another one..(Chinese plastic ) lolz
 
kwa sisi wakemia,kuna tindikali unaweza ukaimwagia hiyo kitu,
na hatimaye kukaziba kabisa......................yaani ule mfereji kwishney ..............
Aisee ngoja nikutafute unipe hizo mixture lolz
 
Kheeee kumbe ya huyu imesagwa kama ki hot dog? Ahahahahaaaaa.....pole ndugu uliyepoteza mali yako muhimu ana maishani.
Dahhh kwanza alimpa sumu pili kamfunga Kitandani akaiferenga na kuisaga kwenye Disposal ... Hatari πŸ™
 
eeh mae nipo! Na mbona??Nawazia hizi hasira za kumchop mtu kifaa chake jamaneni, sijui unakuwa umekasirishwa kiasi gani tu!!? Unaamua basi ngoja tukikose wote.... Wee na hizo hasira zako mwenyewe huthubutu hii jinai...lol!

cdhubutu mae....khaaa...kamnyima mwenzie kitu cha muhimu sana sana kwa kweli, bora angemmaliza kabisa...lol
 
Kabisa....Ila naona wanaongelea tindikali lohhh πŸ™ πŸ™ πŸ™
Wee utasubiri tu dowloader yako iharibiwe? Yaani ufanye kosa kubwa hivo afu utulie tu, huyo uliyempa kilema kwanza ujue atakuwa kama nyati aliyejeruhiwa!
 
cdhubutu mae....khaaa...kamnyima mwenzie kitu cha muhimu sana sana kwa kweli, bora angemmaliza kabisa...lol
Eeh maana hapo sasa uanamme wa mwenzio uko wapi jamani!?Yaani huo ni unyama usiosemeka mae! Hii inipishie mbali.hapo hakuna tena kusameheana yaani ni uadui wa maisha, lazima akuharibu tu na wewe usikilizie utamu
 
Wee utasubiri tu dowloader yako iharibiwe? Yaani ufanye kosa kubwa hivo afu utulie tu, huyo uliyempa kilema kwanza ujue atakuwa kama nyati aliyejeruhiwa!
Hahahaha!!!
 
Sio kuogopa......we all make mistakes....sasa hizi adhabu za kuharibu......What if you are wrong...surely you can't reverse the chopping......
Enheee hapo sasa....usikute ulikurupuka tu, hivi utasemaje sasa baaadae...'ni hasira tu mume wangu, nisamehe tuishi kama zamani...'Khaa kama zamani bila kifaa chake mwenzio?
 
hakuna ndoa tena hapo, mke hawezi kuvumilia kukaa kama zamani bila hitaji hilo muhimu, labda wakubaliane maarifa ya kichina kama yatawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…