AD kamwe hii haiwezi kua njia ya kukomesha.
wat if na yeye kama akipona akaamua siku moja amkte hata ziwatu?(manake kuikata hyo ya mwanamke)!!!!
keshaikata sasa, na ameikata kwa sababu ya wivu.
aliitaka mweneyetu ndo aipate, sasa haipo kabisa.
hizi ni hasira ambazo ultimately utakuja jutiatu!