wife!!?husband!!?

wife!!?husband!!?

Joined
Feb 12, 2013
Posts
27
Reaction score
6
habari yenu wanajamii...
ni matumaini yangu wote ni wazima...jambo langu ni moja,,,,tumekua tunaona post mbalimbali za kutafuta wachumba na wanadada wakitafuta waume......sasa kila mtu kma anataka mke au mume kwanini mnaohitaji msiangaliane badala ya kuanza kutafuta upya?!!!!
 
Back
Top Bottom