Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,593
- 8,595
Ni wiki sasa tangu nilione tabasamu lake, kilicho baki ni misonyo tu ndani ya nyumba.
Sababu kubwa ilio pelekea hiyo hali ni muvi ile ya bushmen (The gods must be crayz). Ilikua ni usiku tuaiangalia ikafika ile sehemu ambayo bushmen amarokota chupa na kuipeleka nyumbani.
Sasa alivyo ipeleka nyumbani familia yake ikawa inashangaa kwenye ile familia kulikua na binti mmoja anachuchu konzi zime simama haswa na nzuri. Si nikajikuta nimeropoka kuwa yule bint anachuchu nzuri basi hapo ndipo nilipo zima tabasamu la mke wangu mpendwa hadi leo. Na sijui naliwashaje tena. Maana hadi sasa vituko vyangu kwake na vikomedi vya hapa na pale wala havimchekeshi tena. Ni misonyo tu ndani.
Deepdown nawapenda sana wanawake vimodo wenye nyama nyama. Na wife alikua mmoja kati yao ila baada ya kunitotolea aisee amekua mbonge hatari na kwa sababu mimi ni chanzo cha ubonge wake nimeamua kukubaliana na hali yake kiroho safi.
Oneni na nyie
NB
Napenda muvi za kitambo cos zina uhalisia mwingi sio kama huu uchafu wa sikuhizi