Wife material anahitajika

Wife material anahitajika

Life starts at 45

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
998
Reaction score
987
Kwanza kabisa shukarani ziwafikie wote wana JF, Nahitaji mchumba ambaye atakuwa mke miaka 2-3 ijayo.
Sifa zangu
>Umri 22 miaka
>Rangi Mweusi
>Kabila mkurya
>Elimu utaijua PM
>Usafi ulinishinda kwa kiasi chake
>Urefu 172CM
>Uzito kg 62
>Mpole lakini hasira kama zote unaponiuzi
>
Sifa za mwanamke naye mtazamia in
>umri (18-20)yrs
>rangi asiwe mweusi sana
>elimu awe anajua kusoma,kuandika,kujumlisha na kutoa
>awe mtu ambaye unaweza mwanzia biashara akaimudu
>dini akiwa msabato itapendeza zaidi(kama ni dini tofauti na Yuko tayari kuwa msabato si shida)
>awe msataarabu

Kama unasifa tajwa hapo juu unakaribishwa PM
 
kwani ww unaishi porini hakuna wanawake mpaka uje jf???
 
Back
Top Bottom