lol!!!material kitu gani bwana me wife property yani kitu kishakamilika .Sio unaanza na material mpaka ukonstruct property sa ngapi
Nilisema minimum..so kama ni zaid fresh tu, no worries.akiwa na elimu zaidi ya diploma hana space?
Acheni utani basi nyie wadada, mi niko serious mwenzenu. Mshikaj wangu kapata humu humu, mie mbona mwanibania?
Mwenzi niko serious nataka kuolewa wewe unaniletea mambo ya shule, kalagabaho!Form 12 ndio ipi hiyo? Je unafundishika, I mean utakua tayari kuongeza elimu?
pole utapata mimi nataka mchumba
mimi hapa elimu yangu masters