Wife of Colonial Ruler, Mrs Thomas Titcombe offering lesson on washing clothes to women in Yagba, Kogi in 1915

Wife of Colonial Ruler, Mrs Thomas Titcombe offering lesson on washing clothes to women in Yagba, Kogi in 1915

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1636440932165.png
 
Ha haa tumetoka mbali waafrika.
Beberu kaja kutufundisha ustaarabu wa kuosha nguo!!
Enzi hizo watoto wanaokwenda shule wanapewa mswaki, dawa ya meno na sabuni na wanafundishwa matumizi yake.

Sasa umemaliza darasa la nane na umeshajua kuvaa viatu na kusafisha meno, unatafutiwa mchumba anatoka huko hajakwenda shule kisa baba yake ampa baba yako ardhi sasa wanataka kuunga undugu.
 
Hivi hawa wachawi wanaonisumbua usiku kila iitwayo leo walishindwa nini kuwaloga wazungu?

Yaani wanatusumbua sisi Waafrica wenzao,ila Wazungu waliowatesa wahenga wao waliowarithisha vibuyu wala hawakuwafanya chochote! Shenzy zao.😱😨
 
Back
Top Bottom