Enzi hizo watoto wanaokwenda shule wanapewa mswaki, dawa ya meno na sabuni na wanafundishwa matumizi yake.
Sasa umemaliza darasa la nane na umeshajua kuvaa viatu na kusafisha meno, unatafutiwa mchumba anatoka huko hajakwenda shule kisa baba yake ampa baba yako ardhi sasa wanataka kuunga undugu.