Wijinaldum amesaini mkataba na PSG, miamba ya soka ya jijini Paris, Ufaransa

Wijinaldum amesaini mkataba na PSG, miamba ya soka ya jijini Paris, Ufaransa

Mnyuke junior

Member
Joined
Jun 1, 2021
Posts
19
Reaction score
15
Wijinaldum amesaini mkataba na miamba ya soka ya jijini paris ufaransa (PSG) kuitumikia mpaka juni 2024. Ikumbukwe Barcelona walikuwa na nafasi kubwa ya kumpata mchezaji huyu lakini akabadili na kwenda kusaini kwa miamba hiyo ya Paris.

433~p~CP8MjtkLEmH~1.jpg
 
Bora kaenda huko maana angeenda barca wangemmaliza.
 
Kafuata pesa tu, unaondoka ligi yenye ushindani unaenda ligi ya timu moja na bado kwa uzembe wao wanakosa ubingwa.
 
Kafuata pesa tu, unaondoka ligi yenye ushindani unaenda ligi ya timu moja na bado kwa uzembe wao wanakosa ubingwa.
Unategemea afate nini.. Ngazi ya klabu kabeba vyote vya msingi..

Huyu alikuwa anaelekea barca ila psg wakamtumia ofa tamu zaidi akabadilisha gia angani.

Liverpool ni timu inayoaukwa upya, kikosi kile ndani ya misimu mi4-5 nyuma kilitumia nguvu kubwa saana, na wacjezaji wakiwa ni wale wale.
 
Back
Top Bottom