Mnyuke junior Member Joined Jun 1, 2021 Posts 19 Reaction score 15 Jun 10, 2021 #1 Wijinaldum amesaini mkataba na miamba ya soka ya jijini paris ufaransa (PSG) kuitumikia mpaka juni 2024. Ikumbukwe Barcelona walikuwa na nafasi kubwa ya kumpata mchezaji huyu lakini akabadili na kwenda kusaini kwa miamba hiyo ya Paris.
Wijinaldum amesaini mkataba na miamba ya soka ya jijini paris ufaransa (PSG) kuitumikia mpaka juni 2024. Ikumbukwe Barcelona walikuwa na nafasi kubwa ya kumpata mchezaji huyu lakini akabadili na kwenda kusaini kwa miamba hiyo ya Paris.
M Mailman JF-Expert Member Joined May 16, 2020 Posts 819 Reaction score 2,106 Jun 10, 2021 #2 All the best to him.
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 6,716 Reaction score 12,116 Jun 10, 2021 #3 Kama namwona gana akianza kuondoka!!!
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jun 10, 2021 #4 Bora kaenda huko maana angeenda barca wangemmaliza.
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 Jun 10, 2021 #5 Kafuata pesa tu, unaondoka ligi yenye ushindani unaenda ligi ya timu moja na bado kwa uzembe wao wanakosa ubingwa.
Kafuata pesa tu, unaondoka ligi yenye ushindani unaenda ligi ya timu moja na bado kwa uzembe wao wanakosa ubingwa.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Jun 10, 2021 #6 denooJ said: Kafuata pesa tu, unaondoka ligi yenye ushindani unaenda ligi ya timu moja na bado kwa uzembe wao wanakosa ubingwa. Click to expand... Unategemea afate nini.. Ngazi ya klabu kabeba vyote vya msingi.. Huyu alikuwa anaelekea barca ila psg wakamtumia ofa tamu zaidi akabadilisha gia angani. Liverpool ni timu inayoaukwa upya, kikosi kile ndani ya misimu mi4-5 nyuma kilitumia nguvu kubwa saana, na wacjezaji wakiwa ni wale wale.
denooJ said: Kafuata pesa tu, unaondoka ligi yenye ushindani unaenda ligi ya timu moja na bado kwa uzembe wao wanakosa ubingwa. Click to expand... Unategemea afate nini.. Ngazi ya klabu kabeba vyote vya msingi.. Huyu alikuwa anaelekea barca ila psg wakamtumia ofa tamu zaidi akabadilisha gia angani. Liverpool ni timu inayoaukwa upya, kikosi kile ndani ya misimu mi4-5 nyuma kilitumia nguvu kubwa saana, na wacjezaji wakiwa ni wale wale.
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Jun 10, 2021 #7 PSG washapigwa hapa