WIKI: +91 72 99 899640 Hii vipi Jamani

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Sahizi kwenye magroup mengi ya Whatsapp kuna hii namba ya kihindi inatembea sana +91 72 99 899640

Ni ya kihindi kwa code zake na ukiuliza chochote kile wabakujibu within a second its like wikipedia sasa Sijaelewa inafanya vipi kazi na wapi imetoka nani ana icontrol

Naona imezagaa sana tueleweshane
 
Yah ni namba ambazo ukiziunga kwenye group la whatsapp inakuwa inakuconnect na wikipedia inasearch kitu na kuleta majibu na kuyapost hapohapo kwenye group.
Lazima uanze na neno wiki meaning wikipedia then baada ya hilo neno kinachoendelea ndo inaenda kusearch wikipedia.
Hizo namba zinavarry from group to group.
Ni kitu cha kawaida sana usiogope ni sawa na uende wikipedia ukasearch kitu.
Pia hiyo namba inakuwa inaupdate issue za soccer.
 
Hata Mimi nimekumbana na hii namba Sana ... Ngoja tueleweshwe hapa
 
Nasikia sio nzuri kwa usalama wa simu nimeona somewhere wameandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…