Wanandoa wameoana siku ya pili tu wamepelekana kwa padri...akawauliza nini tena?
MKE AKSEMA: Nilifikiri iko hivi ===========>
ama hivi =====>
kumbe hivi ==>
bora talaka,
MUME NAE KASEMA:
nilifikiri hivi ()
ama hivi ( )
kumbe hivi ( )
bora talaka ichukue nafasi yake
wewe kama padre/mchungaji ungetoa ushauri gani?
NB: wanandoa hawa hawakukutana kimwili mpaka siku ya harusi yao.
Ningekuwa padre ningemwita mwanamke chumbani nihakikisha kama ni kweli iko ( ) au ( ) au () alafu ningemshauri mwanaume jinsi ya kufanya
Mkubwa we uchungaji haukufai ungeonja wake za watu wote.....