WIKI MBAYA KABISA!:wiki ya uchaguzi-2010

Hivi mtu akiwa anaongea na simu halafu watu wengine wakapiga makelele :doh::doh: ............wapi pope....:A S angry::A S angry:
Hapa ni Pope Keize tu atalizunguzia hili... G-Y umemsikia saint Roya?
 
hahaha bora leo hawajaweka mambo yao ya dovutwa...
 
orait orait....kuna wa kuitaji kuhamishwa meza?

Watu wanahamisha meza hadi kwenye simu sasa sijui kama hiyo inaruhusiwa na kuna fitina za hapa na pale kila kitu kiko documented ukija utapewa file lote
 
orait orait....kuna wa kuitaji kuhamishwa meza?

Kuna wengine wanahama kabisa bar...halafu wanakimbilia kushtaki...kisha ni wabinafsi..:A S angry::A S angry::A S angry:
 
:nono::nono::nono::nono:

:A S angry::A S angry::A S angry:

Kesho nani kawakaribisha? Nyie mmetengwa kuanzia jana.:smile-big::smile-big::smile-big:

Umejitenga mwenyewe....ila kwa nini ukaenda kushtaki??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…