WIKI MBAYA KABISA!:wiki ya uchaguzi-2010

Itabidi uwape daireksheni hawa binadamu...pale kwa Josephina panaweza kuua soko la Al-Batar
hehehe!pale hatuwezi kufanya vikao vyetu kwa sasa mpaka pale maslahi yetu yakudumu yatakapotuhakikishia ''umiliki''....namuogopa sana mwenyekiti:smile-big:
 
Itabidi uwape daireksheni hawa binadamu...pale kwa Josephina panaweza kuua soko la Al-Batar

Ina maana soko la Eliza tuliyemzoea limeshuka au na yeye ameishachakachuliwa sana
 
confirmed noted with thanks
 
hehehe!pale hatuwezi kufanya vikao vyetu kwa sasa mpaka pale maslahi yetu yakudumu yatakapotuhakikishia ''umiliki''....namuogopa sana mwenyekiti:smile-big:

Mwenyekiti na Katibu hawaruhusiwi mpaka mfalme na mshika hela wahakikishe itifaki ya kimaslahi imezingatiwa

Hawa watu ni hatari sana. CHEZUMWI imewaathiri baioloji zao.:smile-big::smile-big::smile-big:
 
hehehe!pale hatuwezi kufanya vikao vyetu kwa sasa mpaka pale maslahi yetu yakudumu yatakapotuhakikishia ''umiliki''....namuogopa sana mwenyekiti:smile-big:

Mkuu Bwana Jaa Pipo vp pale nyumbani kachukua?
 
RSVP: (Kwa wasiofika kwa sababu maalum tu)
Big Braza ODM & Josephina
KingStar Executive Motel
Baa Mpya Basihaya Street
 
Baba Gift umekuwa kama mie nimepoteza Mood ya kila kitu mpaka mambo ya ndani ya nyumba ,,hii inahatarisha zaidi mahusiano ya watu ...hasira ,chuki na gadhabu zinasbabisha poor perfomance ndani ya nyumba ..unakuwa mkali kwa watoto na hasira zisizo na msingi ..kuingia JF naona kama kwenda kituo cha police

aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaagh!Kweli Uchaguzi 2010 :tape:
 
Pole sana mama wa kwanza.....siku zilipoteaje tena?
 
:doh::doh::doh::tape::tape::tape: Ngoja nicheki kama nina ANTI VIRUS
 
Pole sana mama wa kwanza.....siku zilipoteaje tena?

Tafadhari mtoto mzuri sitaki utani sasa ooho kipindi hiki unaweza kukwazana hata na baba mkwe ..
Na ukirudia Asprin ..najua ulivunjika nanihii ......unaendeleaje kuanzia kipindi cha maseji mpake leo??
 
Kaizer mbona ametulia sana ? Nijulisheni kama amepoteza jimbo lake
 
umeonaa eeehhhh!?
yaaani yani yani yani dah!
mi hata mood ya kazi sina yani.....
noja nikajicheck na DRY WINE ya savannah kwanza........
 
Kaizer mbona ametulia sana ? Nijulisheni kama amepoteza jimbo lake
kaizer huko ''kanda ya kati''....NI AIBU MAMA!yaani ni mambo ya aibu kweli kweli
 
Kaizer mbona ametulia sana ? Nijulisheni kama amepoteza jimbo lake

Nipo, nimepoteza hamu, ila nikimfikiria Tundu Lisu, Halima Mdee, Mnyika, Mbowe, Lema, Wenje, Msigwa, Mr II, Selasini....hamu kama inarudi gafla.....
 
Tafadhari mtoto mzuri sitaki utani sasa ooho kipindi hiki unaweza kukwazana hata na baba mkwe ..
Na ukirudia Asprin ..najua ulivunjika nanihii ......unaendeleaje kuanzia kipindi cha maseji mpake leo??

Tangu yule physiotherapist ahamishwe na kuletwa dume, kiuno kimejiponea chenyewe:nono::nono::nono:
 
Nipo, nimepoteza hamu, ila nikimfikiria Tundu Lisu, Halima Mdee, Mnyika, Mbowe, Lema, Wenje, Msigwa, Mr II, Selasini....hamu kama inarudi gafla.....

Hommie hebu kuwa specific hapo. Hamu ya?:doh::doh::doh:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…