WIKI MBAYA KABISA!:wiki ya uchaguzi-2010

Baba G mara hii ushazeeka ? kweli kampeni kazi
:bowl:
 
Baba G mara hii ushazeeka ? kweli kampeni kazi
:bowl:
ha ha ha ha!
ccm hawana maana mwanangu!UENDE NA AMANI!...haya kampatie zawadi hii mwanao:
The Following User Says Thank You to FirstLady1 For This Useful Post:

Baba Gift (Today)​
 
Kaizer kwa hiyo hapa unamaanisha mtarimbo umelala doro😛eep::bump2:
 
Nauliza kama kuna mtu alihamishwa meza or something.....au alihamishwa bar....au alihama mwenyewe, I mean alijitenga.....
 
Nauliza kama kuna mtu alihamishwa meza or something.....au alihamishwa bar....au alihama mwenyewe, I mean alijitenga.....

Unanikumbusha machungu ninahamu Pope afike mapema ili constitution iwe amended kesho watu wamehodhi madaraka wanataka kuhamisha hadi kwenye simu:doh::doh::doh:
 
Unanikumbusha machungu ninahamu Pope afike mapema ili constitution iwe amended kesho watu wamehodhi madaraka wanataka kuhamisha hadi kwenye simu:doh::doh::doh:

Hivi tume ya uchakachuzi ishatoa tamko ramsi la ujio wa pope?? Atakua na kazi kubwa sana...
 
Watu balaa wako kama vile DOVUTWA hawakupiga kampeni lakini hadi PEMBA NA MICHEWENI wamepata kura.
 
Tayari tumekwishaanzaaaaa! Now am trying to cope with the situation

Asalam aleykum wote mliopiga kurta lakini zimechaka-chukuliwa...basi tujione ni samaki tu na tujipe pole
 
Tayari tumekwishaanzaaaaa! Now am trying to cope with the situation

Asalam aleykum wote mliopiga kurta lakini zimechaka-chukuliwa...basi tujione ni samaki tu na tujipe pole

Waleikum Msalaam kwa kuanza KUCHUKUCHUA eti ile ilikuwa ni double road au single road?
 
ha ha ha ha!...

habbarr zenu banaaaaaaaaaa
 
Nauliza kama kuna mtu alihamishwa meza or something.....au alihamishwa bar....au alihama mwenyewe, I mean alijitenga.....
ha ha ha!
atakuwa alijihamisha bar huyo!.....

HIVI ILE ILIKUWA DOUBLE ROAD SI NDIYO?
habbarr ako seint ''uchwara?''
 
Utahamishwa walah!

''Aisee" ila natumaini hautumii ile EXCEL kama NEC

"If DOVUTWA got 54 votes it is equal to 0.01% then CUF you multiply to CCM so CCM is 75% and you minus CHADEMA, so CHADEMA is 11%"
 
ha ha ha!
atakuwa alijihamisha bar huyo!.....

HIVI ILE ILIKUWA DOUBLE ROAD SI NDIYO?
habbarr ako seint ''uchwara?''
Hivi alikua nani kwani....memory card yangu imepotea....

Seinti akipitishwa na popu hawi uchwara bana..
 
''Aisee" ila natumaini hautumii ile EXCEL kama NEC

"If DOVUTWA got 54 votes it is equal to 0.01% then CUF you multiply to CCM so CCM is 75% and you minus CHADEMA, so CHADEMA is 11%"
hence therefore that....!
dovutwa is to remain there there hata kama alijitoa......!

insert one column before sisiem column then create a formula of which all votes to be multiplied by 1.85.....!multiply for the same in one row then highlight one cell again DRAG,TO RUN THE FORMULA FOR ALL THE REGIONS
 
''Aisee" ila natumaini hautumii ile EXCEL kama NEC

"If DOVUTWA got 54 votes it is equal to 0.01% then CUF you multiply to CCM so CCM is 75% and you minus CHADEMA, so CHADEMA is 11%"

Aisee ile formula natamani na mimi niipate....If Dovutwa hakupiga kampeni, and If Dovutwa amejitoa kwenye uchaguzi, then every jimbo is equal to not more than 100 votes, which is 0.01%
 
unatoa lami unaweka lami, unatoa vumbi unaweka vumbi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…