WIKI MBAYA KABISA!:wiki ya uchaguzi-2010


and then you control delete chadema

''unanipa hela mie na kupa bia,nakupa hela we unanipa bia!''....the king
 
aisee ile formula natamani na mimi niipate....if dovutwa hakupiga kampeni, and if dovutwa amejitoa kwenye uchaguzi, then every jimbo is equal to not more than 100 votes, which is 0.01%

eti walikuwa wanauliza ni double road or single road?
 
''unanipa hela mie na kupa bia,nakupa hela we unanipa bia!''....the king
 
''unanipa hela mie na kupa bia,nakupa hela we unanipa bia!''....the king
mpango mzima si ndio????

ee bana ee pale kijiweni petu yule mwenye baa si anaweza akawa anatuona kama ''miungu watu?''
 
Katakuja tu kangoje...

Hahaa hatukuwepo wakati wa business plan....na bizinez plan ni konfidensho...
sasa hoja inakuwa ngumu hapo.....!

wengine wanasema ilikuwa lazima ijengwe barabara hiyo kwakuwa imekaa ''kikwere'' zaidi.....
 
leta bia WEKA BILI KWENYE GLASS!.....weka bili LETA BIA....!

Aisee kale kameeting na chairman mwenyewe wa ISC kangekuwa leo, ingekuwa dabo rod sana, tena ile yenyewe ya toa lami weka lami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…