Wiki nzima bila kutongozwa

NR huo ni wimbo? Kama ni wimbo nani kauimba? Hiyo avatar yako mpya Mhhhhhhh! matata sana maana umependeza ile mbaya na hayo macho mhhhhhhh!

si avatar B.A.K ni mie usiniite avatar kwa ajil avatar ni (drft picture)huoni sura ni ile ile nilham??? mambo zako lakini?? aliomba simjui lakini waitwa Right Across My Heart....

Sikujua kama hiyo ni picha yako, samahani sana. Ni kweli inafanana sana na ile iliyopita. Mambo poa kabisa nilikuwa namsikiliza Obama na speech yake ya state of the union. Ngoja niutafute mtandaoni labda naweza kufahamu ni nani aliyeuimba.

okey.....

Inaelekea umeimbwa na waimbaji wengi akiwemo Kenny Rogers lakini maneno yake yanatofautiana kidogo na huu uliouweka hapa.
 
umeupenda kwani??? 🙂

Maneno yake mazuri sana, kuupenda inategemea na muimbaji. Kwa mfano ule "I'll always love you" uliimbwa mara ya kwanza na Dolly Parton lakini haukupata umaarufu mkubwa baadaye akauimba Whitney Houston ukawa maarufu sana. Nimeupenda aliouimba Kenny Rogers lakini maneno yake ni tofauti kidogo.

yap ni kweli... yategemea na sauti ya muimbaji... okay tanx...
 
Mmmmmh . . . hashycool anakazi humu ndani?!!!! Ngoja amalize kupiga mswaki, aogeshwe na michelle wake waje waone mambo haya
 
Kutongozwa kwa mwanamke ni kawaida lakini wewe sasa unataka kufanya ni lazima. Acha hizo bwana.
 
This might as well be called sense of insecurity!..what matters is what you have inside not what you get from outside!:car:.....it depends

here we go (again)
 
OOoh my my my my...Nilham?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…