Kumbe akina dada huwa mnafanya tathmini kwa siku, wiki na mwaka mmetongozwa mara ngapi!!!! Nilikuwa sijui.
Jamani mpeni ushauri mwenzu.......... mie namshauri kama hatongozwi ajitongozeshe.
Wanajamvi, hili suala lenye hisia. sisi waafrika huwa tunaficha hisia zetu sana. Wanawake wameumbwa na hisia nyingi, hupendwa kuenziwa, attention na pia hata kuhudumiwa kwa kipao mbele. Huyu dada anchoongea si maanake ni muhuni lahashaa! bali ni ukweli kwamba hio inampa confidence kwamba she is existing. kila asubuhi jaribu kumuambia mkeo umependeza, umeumbika mpenzi. na wakati ukisafiri ata miss hizo
Inadhihirisha KUTOJIKUBALI KWAKO!
mh shost una hatar wewe..uongozane na bacha?
utafika safar yenyewe?
ahh km ivo basi mi nimegair safar yenyewe
bacha hafai uyo ennh!!
Mbona unaguna nini mtazamo/maoni yako kwenye hii ishu!!mmmmmhhhh???!!!!!!!:car:
ukisikia umbea ndo huu sasa,
mwone vile, ndo maana nimekupa kinuno!!!!!
Mbona unaguna nini mtazamo/maoni yako kwenye hii ishu!!
ok, uzuri ni kwamba,
ukishanikaribisha mimi kukutongoza,
ujue umekwisha!!!!huwezi toka salama
Mi mwenyewe mdada na ninamshangaa.........hata mie nilikuwa sijui ati......
Nafikiri kuna watu wamepungukiwa vitu vya kuwaza na kutathmini....can't believe it!!
Wote wanawaza ngono, lakini kuna muda wa kufanya hivyo!! Na ndio maana last week hukutongozwa na mtu yeyote kwa sababu huenda wanaume hawakuwa na mawazo ya ngono wakati wewe ulikuwa nayo.
mmmmhhhhh hadi wewe domo zege,au unahonga??:shock:
hujambo michelle,
mbona leo hujaja ukumbini,
nini kulikoni dear?
Ahahahaaaaah Bacha naona Rose anataka kukupeperushia ndege wako!!
hi bacha, michalle+EMT +finest +hash ycool if possibo someni sredi yautu uzima dawa michelle,
najua wewe ulinimwaga kwasababu za kimsingi kabisa,
lakini nashukuru kuwa ulitambua kosa lako,
na sasa umerudi, karibu mama!
:shock:Mi naumwa,najikaza tu
Ntakuja ukumbini,siwezi kosa
utu uzima dawa michelle,
najua wewe ulinimwaga kwasababu za kimsingi kabisa,
lakini nashukuru kuwa ulitambua kosa lako,
na sasa umerudi, karibu mama!
Mi naumwa,najikaza tu
Ntakuja ukumbini,siwezi kosa