You are my disease!!! understanding,caring and forgiving........:A S-heart-2:
What else can i ask from a man????:nono::nono:
hee waumwa kumbe habibty sasa mbona husemi... pole bas allah atakuaf inshallah... :shock:
mwambie maana hawa watu wa aina hii ndo waliojaa humu jf wanatia jamvi aibu,badala ya kuleta hoja za maana analeta mambo ya kufikirika,mi nadhani ni watoto hawa!na mpaka wakue kazi tutakuwa naoAcha mawazo ya uzinifu - Fanya kazi kwa bidii kwa manufaa yako na ya familia yako sasa na baadaye
Ndio nini!!![/QUOTE
hi bacha, michalle+EMT +finest +hash ycool if possibo someni sredi ya
Can You Marry A Jobless Man? uone watu wanavyoolewa kwa kufwata mshiko na sio mapenzi.mtakubali nilionewa kwenye ile sredi yangu ya Mmasai vs Mmarangu.
hii ishu namna hii ni mpya kwangu mi bado cjahisabia lini nimetongozwa na lini sijatongozwa naona bora nitulie tuu niwasome.. :A S kiss:
asante sana my dear Nilham,Allah si athuman,naona ahueni kidogo sasa......πlayball:
mhh kazi kwelikweli,we ndio wale wasioweza ishi bila mwanaume inavyoonekana.
Hilo busu lako ndio litafanya utongozwe mfululizo mpaka hesabu ipotee.....
asante sana my dear Nilham,Allah si athuman,naona ahueni kidogo sasa......πlayball:
mmhhh huo ulionao wewe cjui ni wivu cjui ni hasira wallah bado cjajua nini??? kwahiyo wee nikuulize bas kidogo ndugu yako humkiss wew asubuh au wazazi wako au rafik yako sidhan kama kiss inamaana tofauti...
Khaaa... Mh! Very cold.
poleni sana dear,
ugua taratibu,upone haraka!!!!
good boy...Sio hasira ni wivu, mimi simbusu mtu ninaeweza kumwoa ila wale nilioharamishiwa kuwaoa...............
Dua zake maqbul basi Nilham wewe unatoka ukoo wa sharifu nini?
Sio hasira ni wivu, mimi simbusu mtu ninaeweza kumwoa ila wale nilioharamishiwa kuwaoa...............
Khaaa... Mh! Very cold.
Sasa ndugu wewe unaona wivu...., mbona sisi tupo since long time tushatuma maombi... advice usione wivu Just Join The Queue..., na vuta subira π