Wiki sasa tunafatilia passport tunaambiwa kuna shida ya mtandao

Wiki sasa tunafatilia passport tunaambiwa kuna shida ya mtandao

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Hii nchi ngumu sana, ni sisi tu tusio toa hela ndio tuna suffer hivi au ni wote jameni? Masikini tue tunaoneana huruma basi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜„๐Ÿ˜ yaani hakuna sehemu salama kwa maskini kote ni spana left and right centre and bottom.
 
KUNA SHIDA YA MTANDAO, MPENI KURA ZOTE ZA NDIYO 2025. NCHI ZA AFRICA SIO WAJINGA KUKWEPA HAO WATU KUWAPA NCHI
 
Hii nchi bado inahitaji utawala wa mkono wa chuma. A one man show
 
Kama ulivyoelezea pasipoti hazipatikani kwa sababu hakuna mtandao. Hapo mtandao unaozungumziwa sio huo ambao unaufikiria wewe. Lakini naona umeutaja hapo kwa kifupi zaidi. Kinachotakiwa hapo, penye udhia penyeza rupia ndiposa mtandao utafunguka.
 
Mama Makakara nina uhakika huku huwa unapita iko hivi. Kuna maaskari hapo Makao Makuu ya Uhamiaji Kurasini wameshajiweka kuwa ndio waamuzi wa ratiba za waomba hati za kusafiria. Wao ndio wanapanga wakupe lini na saa ngapi tena hawa wanashirikiana na steshionari zilizoko kwenye uwanda huo wa Ofisi za Uhamiaji mpaka karibu na kituo cha kwenda Kigamboni.
 
Hii nchi ngumu sana, ni sisi tu tusio toa hela ndio tuna suffer hivi au ni wote jameni? Masikini tue tunaoneana huruma basi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜„๐Ÿ˜ yaani hakuna sehemu salama kwa maskini kote ni spana left and right centre and bottom.
Passport ya nn wewe? Tulia ujenge nchi hapo hapo Kisiju
 
Back
Top Bottom