kingphisher
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 161
- 280
Oya unabidi usubirie hadi miezi 8,9,10,11 hadi 12 yaan ndani ya muda huo utaitwa hapo mwezi 1 ni mapema mnoo inaenda hata miezi 12 unasubiri tu na hujaitwa interviewhadi sasa ni mwezi toka deadline ya kuomba
sawa mkubwa, nimekuelewatulia fanya mishe nyengin mda utafika itachange tu iyo
hahahahaha, mamaee.. anyway, asante kwa kunijulisha. nikajua ndo imeshapita hiyoOya unabidi usubirie hadi miezi 8,9,10,11 hadi 12 yaan ndani ya muda huo utaitwa hapo mwezi 1 ni mapema mnoo inaenda hata miezi 12 unasubiri tu na hujaitwa interview