Hao polisi wanatengeneza mazingira ya hela.Bosi wangu alikamatwa na Polisi tarehe 28 mwezi May 2019. Akalala mahabusu siku 3 akatoka kwa dhamana. Lakini tangu hapo anaambiwa aripoti polisi kila wiki ila kesi bado haijapelekwa mahakamani hadi leo.
Mtu aliyeshitaki anaidai kampuni na sio mtu binafsi aliyekamatwa,...lakini yeye akaenda kumkamata kiongozi wa kampuni na kusema amejipatia hela kwa njia ya udanganyifu.
Tunatafuta ushauri wa kisheria tufanyeje ili kesi ipelekwe mahakamani ambako ndiko haki hupatikana?
Bosi wangu alikamatwa na Polisi tarehe 28 mwezi May 2019. Akalala mahabusu siku 3 akatoka kwa dhamana. Lakini tangu hapo anaambiwa aripoti polisi kila wiki ila kesi bado haijapelekwa mahakamani hadi leo.
Mtu aliyeshitaki anaidai kampuni na sio mtu binafsi aliyekamatwa,...lakini yeye akaenda kumkamata kiongozi wa kampuni na kusema amejipatia hela kwa njia ya udanganyifu.
Tunatafuta ushauri wa kisheria tufanyeje ili kesi ipelekwe mahakamani ambako ndiko haki hupatikana?
Hakuna sheria kwamba kila kampuni ni lazima iwe na mwanasheria.na kuuliza hapa kutaka kupata mawazo mchanganyiko kutokana na uwepo wa watu mbali mbalikampuni gani aina mwanasheria, unajua kufungua kampuni lazima hiwe imejikamilisha kila idara.hata kama tatizo likitokea inajua jinsi ya kuanzia.
Sina ufahamu wa kina kuhusu corporate veil lakini kidogo najua kuwa kesi ya kampuni lazima ianzie kwanza kushitakiwa/kudaiwa kampuni hadi itakapobainika kuwa kampuni haiwezi ndo mahakama itafanya ku pierce the veil of corporation na kuangalia nani alihusika kufanya labda fraud ndo awajibishwe.Kuna kitu inaitwa corporate vail responsibility, ... Unakijua? Anyway nenda takukuru kawajulishe, hiyo kesi ilitakiwa kuwa mahakamani, Polisi wanataka kufnanya namna hapo
Samahani mkuu!Hiyo ku"pierce vieil " imeingiaje hapo? Acheni utoto. Jikiteni kwenye mada, kuna tatizo la jinai hapo.
Cha kushukuru kapewa dhamana. Amuone mkuu wa kituo apate ufmbuz