Man Simple
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 422
- 250
karibu tenaDaaaaah naona kama JF inakua ni zaidi ya mapindi ya Chuo hivi maana nimepata concepts hadi nimefarijika na nimekua normal kabisa .....
Asanteni sana wadau niwaahidi kuwa ntaleta mrejesho humu mungu akisaidia mke wangu kujifungua
Ni 41 mkuu sio 42 ya 42 bado haijaanzaUna uhakika na hizo wiki 42?
Nakuona doctorkaribu tena
Ameni....daaaah mkuu umetumia lugha ambayo imenifanya nikumbuke mwalimu wangu wa geography darasa la 6 alipenda sana kutumia neno KIGONGO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Relax bro kondoo anakuja huyo anakubeep.Hapo unapoishi kama kuna kigongo (kimlima) mtembeze huyo mama kwa miguu apandishe taratibu (zoezi ) akitoka huko utakuja kunijibu hapa.Mungu ampe nguvu mke wako ajifungue salama.
Wewe ilikuaje?Atajifungua tu tena salama kabisa Mungu Mkubwa, Me mwenyew ilishatokea hadi nika hisi kuna jambo baya lakini wapi.
Nakuona doctor
Ahahahaaaaaa hongera, mie sinaga hizo mambo kabisa.hhaha mwenzako nikishabeba mimba huwa nakesha kwenye sites za mambo ya uzaz !yaan huwa nafatilia kila kitu !kila week najua mwanangu tumbon kadevelop hiki na hiki!
yaan hzo brackston hicks zooote nazijua nw !yaan nafuatlia toka kakiwa kaduuuchu ka embryo had naingia labor !
sema tu huwa nashindwa kucope na hiyo hali jaman !
Ahahahaaaaaa hongera, mie sinaga hizo mambo kabisa.
Kitu ambacho huwa nipo makini ni kuangalia mabadiliko ya hamu ya kula tuu.
umenena vyema!hongera sana !Mimba huwa ni wiki 40.
Pungufu wiki 2 au nyongeza ya wiki 2 namaanisha wiki ya 38 hadi 42.
Zaidi ya hapo ni tatizo.
Namshukuru Mungu mke wangu hujifungua wiki ya 39.... Uzazi wa pill huu
Ni kweli inatokea sema miaka ya sasa ivi watu hawana subra,, mm dada yangu alijifungua week ya 43 kikubwa ni kumuona doctor kuangali km mtoto yupo okAcha kupotosha
Chukua hatua wasiliana na dr bingwa wa magonjwa ya kina mamaHabarini wadau
Mke wangu ana ujauzito na tarehe ya matarajio ilikua ni tarehe 1 lakini naona siku zinaenda tu mtoto wangu hazaliwi kazi yake ni kurukaruka tu tumboni kwa mama yake.
Je watalamu hapa shida iko wapi?
Kwa kitaalam hii tunaita overdue/postmaturity ukicheza unapoteza mtoto au unazaa mtoto mwenye ngoz kama ya bibi kwani yale maji ya uzazi yanakuwa yamepungua sanaNi kweli inatokea sema miaka ya sasa ivi watu hawana subra,, mm dada yangu alijifungua week ya 43 kikubwa ni kumuona doctor kuangali km mtoto yupo ok
Acha kumtisha bila sababu.Kwa kitaalam hii tunaita overdue/postmaturity ukicheza unapoteza mtoto au unazaa mtoto mwenye ngoz kama ya bibi kwani yale maji ya uzazi yanakuwa yamepungua sana
VizuriiiMrejesho kuhusu mke wangu wiki la 42
Shukrani sana ziwaendee wakuu humu z.
Mwishoni mwa wiki iliyopita nilileta Uzi wangu humu kuhusu mke kuchelewa kujifungua hadi wiki la 41 mwishoni....nilipata ushauri safi na ulionifanya moyo wangu kutulia kutoka kwa manguli wa mambo ya uzazi kupitia humu jamvini...Asanteni sana wakuu.
Lengo la Uzi nikutaka kuleta mrejesho kuwa jana mnamo majira ya saa 5 usiku mke wangu alianza kuumwa tumbo la uchungu......kidume nilifurahi sana japokuwa alikua alikua anaumwa nilijua anaumwa kwa Heri tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]fasta nikatekenya kamkweche kangu (corrola)fasta hospital nakulazwaa hatimaye asubuhii amejifungua salama kwa njia ya kawaida...mtoto wa kike mungu ashukuriwe sana Yani.
Am a new dady in town now.Shukrani ziwafikie wanajamvi wote.
Nimeplani kumpa jina aitwe LETRISHA .. .....Sio mbaya kama mtanisaidia pia kumchagulia jina zuri....
NB:jina liwe la kicute maana mtoto mwenyewe ni mcute hatareee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]