Wiki ya kimataifa

Smt016

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
3,012
Reaction score
4,300
Wiki hii ni wiki ya mashindano ya kimataifa kwa ngazi ya vilabu ikiwa ni hatua ya nusu fainali. Kama timu yako haijafanikiwa kufika hatua hii kwa msimu huu basi pole na kusubiria kujipanga kwa badae. Upande wa ulaya ni mwendo wa nusu fainali na huku Africa ni mwendo wa nusu fainali. Wiki ya ubize wa nusu fainali.

Jana tulishuhudia mbungi kati ya Real madrid vs Man city, huku usiku wa leo ikiwa ni Derby della Madonnina na kesho itakuwa ni usiku wa Europa league. Kwa Africa leo ni siku ya Confederation cup kisha kesho na keshokutwa ni siku ya mabingwa wa Africa.

Kupitia uzi huu, itakie kheri timu yako ya kufuzu kucheza fainali katika michuano ya kimataifa inayoendelea sasa.
Naanza na mimi naitakia kheri Young Africa &Ac Milan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…