Elections 2010 WIKI Ya KWANZA ya MAKINDA na BUNGE LA KUMI

charityboy

Senior Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
138
Reaction score
4
Kuna kila dalili kuwa huyu mama atashindwa kulimudu bunge la kumi. Anaendekeza sana itikadi za vyama kuliko ukweli. Kwa mtu yeyote mwenye jimbo lake hata kama angekuwa yeye ndiyo mbunge wa arusha, ni lazima angesimama na kupinga hoja ya mhe. Pinda.
Tusubiri tuone, lakini dalili si nzuri baada ya wiki ya kwanza ya bunge.
 
Dalili ya mvua ni mawingu,sana sana tutaone mambo mazito zaidi.
 
wasiwasi mkubwa watanda, kwa mama huyu CHADEMA watakoma, Wachague kukubaliana na mfumo tawala ili wapate ruzuku na mishahara au wajiandae kufukuzwa bungeni kila mara.
 
Tutakuja kuona uwezo wake kama kweli alistahili kupewa nafasi hii, ingawa wengi tulisha-doubt uwezo wake from the on set!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…