Una maanisha niniKila mtu atimize wajibu wake, hakuna HAKI bila wajibu!
Ana maanisha ukipigwa la kushoto geuza na la kulia.Una maanisha nini
Hawataki wanajua CCM itaenda na maji1. Vituoni ni muhimu wananchi watakaotaka wabakie vituoni kusikiliza matokeo yakitangazwa.
2. Matokeo yatangazwe vituoni mara tu baada ya kumaliza hesabu. Kuhesabu kura zisizodi 200,000 hakiwezi kuchukua masaa 2 hata kwa kutumia wanafunzi wa darasa la 3..
jeuri hiyo hawanaJK alishauri kura zihesabiwe hadharani CCM wakagoma
Kabisajeuri hiyo hawana
Hiiiii bagosha mkisikia haki ikitendeka amani itapatikana kwa nini mnakotaka hivyo?Kila mtu atimize wajibu wake, hakuna HAKI bila wajibu!
Huo ni uonevuAna maanisha ukipigwa la kushoto geuza na la kulia.
Basi nasi hatutataka. Wa kwenda na maji na aende na maji. "Simple mathematics."Hawataki wanajua CCM itaenda na maji
Wamezoea vya haramu na kuvifanya ni halali yao.Huo ni uonevu
magufuli mitano tena
Ngumu kumesaBasi nasi hatutataka. Wa kwenda na maji na aende na maji. "Simple mathematics."
Vinginevyo ndipo mbwai itakapo kuwa mbwai!
Ngumu kumesa
SawaBachi wajipange kutema.