johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Viongozi wa BAKWATA walioko Jijini Mwanza ikiwa ni katika wiki ya maulidi ambayo kitaifa sikukuu itafanyika jijini humo wamempongeza na kumshukuru Rais Magufuli kwa maendeleo anayotuletea.
Viongozi hao wamekaguwa miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ikiwemo ujenzi wa meli mpya za kisasa. Shehe wa mkoa amesoma Dua maalumu la kumuombea afya njema na maisha marefu mh Rais Magufuli ili aendelee kutujazia baraka njema za maendeleo katika kila kona ya nchi yetu.
Source Star tv habari
Maendeleo hayana vyama!