Wiki ya Mwananchi inafanyikaje kwenye uwanja uliofungwa?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Nauliza tu unafanyikaje kwenye uwanja uliofungwa maana TFF imesema ngao ya jamii itafanyika Tanga sababu uwanja umefungwa kwa marekebisho
 
Mleta mada una matatizo, Yanga ni kubwa kuliko chama tawala. Wakati CCM inaundwa Hayati alitaka Yanga ibadili rangi ili njano na kijano iwe ni CCM, Yanga ikamwambia Hayati, mmeikuta Yanga ikiwa hivi, kama kubadili rangi badilini ninyi, mkishindwa tumieni hizo hizo njano na kijani.

Elewa neno WANANCHI kwa YANGA hapa Tanzania.
 
Hujatambua tu ukubwa wa Yanga?inapoitwa wananchi inamaanisha ndio wamliki wa nchi hii.
 
Mleta mada una matatizo, Yanga ni kubwa kuliko chama tawala. Wakati CCM inaundwa Hayati alitaka Yanga ibadili rangi ili njano na kijano iwe ni CCM, Yanga ikamwambia Hayati, mmeikuta Yanga ikiwa hivi, kama kubadili rangi badilini ninyi, mkishindwa tumieni hizo hizo njano na kijani.

Elewa neno WANANCHI kwa YANGA hapa Tanzania.
kama Ina huo ukubwa inaendaje kucheza Tanga kwenye uwanja mbovu
 
Back
Top Bottom