Wiki ya nenda kwa usalama barabarani

Wiki ya nenda kwa usalama barabarani

Utanijua

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2011
Posts
225
Reaction score
136
Hivi hii wiki ya nenda kwa usalama barabarani ina maana gani wakati hata hizo stika za kuonesha magar yanakidhi viwango vya kuwa barabarani zinatolewa bila gari kukaguliwa au ndo wanakagua mifuko ya watu na si magari?
 
ni wiki ya kuomba na kutoa rushwa mabarabarani..
 
Back
Top Bottom