Utanijua JF-Expert Member Joined May 4, 2011 Posts 225 Reaction score 136 Oct 2, 2011 #1 Hivi hii wiki ya nenda kwa usalama barabarani ina maana gani wakati hata hizo stika za kuonesha magar yanakidhi viwango vya kuwa barabarani zinatolewa bila gari kukaguliwa au ndo wanakagua mifuko ya watu na si magari?
Hivi hii wiki ya nenda kwa usalama barabarani ina maana gani wakati hata hizo stika za kuonesha magar yanakidhi viwango vya kuwa barabarani zinatolewa bila gari kukaguliwa au ndo wanakagua mifuko ya watu na si magari?
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Oct 2, 2011 #2 ni wiki ya kuomba na kutoa rushwa mabarabarani..