Gotze Giyani
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 143
- 213
Bei 1580 ndio nimeweka na ndio iliyepo sokoniIli ununue lazima bidhaa iwepo sokoni. Ipo? KWa bei ipi? Bei uliyoweka wewe ni ipi??
Ni kweli kuwa sasa hivi bei ni hiyo uliyoitaja, ila ukiangalia pale kwenye section ya "sell" haina wauzaji, watu hawauzi ndio maana hiki kipindi imekuwa ngumu sana kuzipata hisa hizi sokoni.Bei 1510 ndio nimeweka na ndio iliyepo sokoni
Hisa kutokuuzwa ni dalili kuwa kampuni husika inafanya vizuri kwenye boashara zake , wenye hisa wanaridhika na gawio!!Ni kweli kuwa sasa hivi bei ni hiyo uliyoitaja, ila ukiangalia pale kwenye section ya "sell" haina wauzaji, watu hawauzi ndio maana hiki kipindi imekuwa ngumu sana kuzipata hisa hizi sokoni.
Hapo pote ulipo ongea ni sawa....ila hisa za tcc na tbl sio adimu kiasi hicho zinauzika sana sema tu bei yake ni kubwa sana watu wanashindwa kununua.Hisa kutokuuzwa ni dalili kuwa kampuni husika inafanya vizuri kwenye boashara zake , wenye hisa wanaridhika na gawio!!
Ni kama vile hisa za sigara na tbl zinavyogombaniwa sokoni, adimu sana kumkuta mtu anauza hisa za Tcc au Tbl.
wanasubili bei ipande?Ni kweli kuwa sasa hivi bei ni hiyo uliyoitaja, ila ukiangalia pale kwenye section ya "sell" haina wauzaji, watu hawauzi ndio maana hiki kipindi imekuwa ngumu sana kuzipata hisa hizi sokoni.
Ninavyohisi, kutokana na performance ya hisa za crdb zimekuwa na matokeo mazuri sana sokoni kuanzia kwenye faida hasa kwa report za Q1 na Q2, so wanauhakika wa gawio kubwa ambapo inapelekea pia bei yake sokoni kupanda zaidi kwa hiyo ndio maana watu wanazi hold wanaamini kuna future nzuri zaidi sokoni.wanasubili bei ipande?