A
Anonymous
Guest
UDOM chuo chetu kizuri sana ila kina waajiriwa wahuni sana wasiojali wateja wao.
Watu wameshikiliwa matokeo yao na hawadaiwi hata mia, Utaratibu wa chuo unajulikana huwezi kuingia chumba cha mtihani bila kulipa ada yote lakini kwenye matokeo blah blah zimekuwa nyingi.
Mnatutia hasara wanafunzi wa mikoani tunaosubiri matokeo, au mnataka mtoe matokeo na hapo hapo mtu kama amepata supplementary aende akafanye hizo sup bila kujiandaa?
Come UDOM kuweni serious.