FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Tatizo hatujajua kama mdau ni Firstlady1 au mpwawe Fidel80 (Masanilo)
we kama mgeni ukishashuka ubungo ulizia sisimizi bar, ukifika kamua weee ukichoka kalale kesho yake urudi kazini
we kama mgeni ukishashuka ubungo ulizia sisimizi bar, ukifika kamua weee ukichoka kalale kesho yake urudi kazini
umenikumbusha mbali wewe hapa kuna kitimoto safi sana
huyu mgeni njoo wenyeji wapone sijaona hata mmoja anayesema atamkaribisha kwake mnaogopa 🙂
LOL kumbe hapo inaonyesha jinsi gani binadamu hatuaminiki 😉
hata wewe ukiomba kampani ya kunywa kwangu akisikia mj1 patakuwa padogo.
🙂kaaaz kweli kweli
labda siku hizi wamekuwa wachovu!ila enzi zile tukiwa pale foe acha kabisa ilikuwa ni kushuka kidogo tu kwa ajili ya kwenda kitimoto cha sisimizi na ice kwa pembeni jaamani acha tuKwenye kiti moto wachovu mi niliagiza nikaletewa kitimoto imegeuka kuwa biskuti ngumu balaaa.
labda siku hizi wamekuwa wachovu!ila enzi zile tukiwa pale foe acha kabisa ilikuwa ni kushuka kidogo tu kwa ajili ya kwenda kitimoto cha sisimizi na ice kwa pembeni jaamani acha tu
labda siku hizi wamekuwa wachovu!ila enzi zile tukiwa pale foe acha kabisa ilikuwa ni kushuka kidogo tu kwa ajili ya kwenda kitimoto cha sisimizi na ice kwa pembeni jaamani acha tu
CPE mkuu FOE yaani fidel akiniambia sisimizi wamefulia hata siamini maana nakumbuka nikiwa na baba 5J's yeye alikuwa MECHE.Tulikuwa tunashuka tu hapo ni good memories kwa kweli acha kabisa.Umenikumbusha mbali aisee. Enzi hizo bana ilikua kaazi kwelikweli. Kutoka FOE mpaka sisimizi pale unaua winga tu geti maji then njiapanda chuo unavuka pale ushafika. Umenikumbusha mbali sana mama faiv jeiz. Ulikua MECHE/Telecom/Civil/CPE/ au? Big up for enlivening my memori.
FIDEL sijawahi kula ya kuchoma niambie bongo inapatikana wapi siku moja nikaionje?Siku hizi ukipita papo kimyaaaaaa jamaa kafulia ameamua kurudi kwa Mungu. Mama J umewahi kula kiti moto ya kuchoma wewe? Ukila hiyo hii ya kukaanga na mafuta utasahau na huta kula tena.
FIDEL sijawahi kula ya kuchoma niambie bongo inapatikana wapi siku moja nikaionje?
Nielekeze bwana ili one day niendeNina sehemu 2 lazima week end nizitembelee kwenye ya kuchoma.
Lazima twende wote nikupeleke nikakukabidhishe siku ukienda unapewa nyama safi.
CPE mkuu FOE yaani fidel akiniambia sisimizi wamefulia hata siamini maana nakumbuka nikiwa na baba 5J's yeye alikuwa MECHE.Tulikuwa tunashuka tu hapo ni good memories kwa kweli acha kabisa.
mkuu umemade my wekend!Umenikumbusha bwashee jamani acha tu bwana ile asubuhi mchemsho au mtori au ile supu utumbo au kuku jamani zimebakia kuwa enzi zilePale mlikua jirani sana na Bank yetu ya makabwera(NMB). Mnapiga shule mkchoka mnakomba hela mnashuka zenu sisimiz. Inawezekana tulikua tunagongana huko au kwenye misosi yetu ile kwa bwanshee: chapati/wali roast na matunda kwa yule jamaa.
Nielekeze bwana ili one day niende