Wikiendi hiyooo inaanza.

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Posts
7,956
Reaction score
5,149

Week end ndio hiyoooo inaanza, naomba basi hii avatar iache uchokozi japo kwa siku mbili hizi jamani ,ili wanaume tutulie na familia zetu.I wish you all a very good week end.
 
Siyo uchokozi, ana jicho moja
 

Week end ndio hiyoooo inaanza, naomba basi hii avatar iache uchokozi japo kwa siku mbili hizi jamani ,ili wanaume tutulie na familia zetu.I wish you all a very good wek end.
Ahahaaaah kama inakukwaza inabidi uikwepe kwa kutotembelea JF kwa siku mbili hizi!
 


Mi nilidhani inanikonyeza mimi peke yangu....kumbe na nyie!...goooosh!
 
naona mnaklik wandugu bas ngoja niidisplay page....!!!!
mm macho yangu yana matatizo bwana yan nilikuwa bch ukooooooooooooooo na babu yenu bas katika kukuru kakaara mchanga ukaingia machon....
wknd wap ?sema bas toa venue km ni mzalendo kesho ,kwa mbowe,kwa jd,maisha?sansiro?sanaa?
mi kesho naenda kutukunyuka panapo mzalendo (usiku wa east afrika napenda swaga za ug)nkashake kila kitu vikidondoka ntaviokota bt today i hav to rest n tak time fo maself.....!!!!!
KM UKIKONYEZWA NA WEWE ASI UKONYEZE BABU AU UNA MAKENGEZA???????pole unalo ilo babu limekuganda......!!!!!!
 

Mi nilidhani inanikonyeza mimi peke yangu....kumbe na nyie!...goooosh!


paka jimmy na paka mweusi achen utukunyuku wenu mi stak uchokoz
asi mnikonyeze na nynyi.najua mna makengeza lakin asi mna mikia?BASI NIKONYEZENI KWA KUTUMIA MIKIA!!!!!!1
 


Umeamka salama mama,vipi kiporo leo?Au ni mwendo wa viazi vitamu vya kukaanga?
 
Umeamka salama mama,vipi kiporo leo?Au ni mwendo wa viazi vitamu vya kukaanga?

kaukau leo na maziwa fresh baba yenye tangawizi mana nina kikohoz kiduuuuuuchu!!!
mchana mlenda km vp njoo ujilambe!!!!!!
UNAJUA KULA MLENDA WEWE?
wa kigogo na wa bamia....?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…