Tetesi: Wikileaks: CIA imeibiwa Mbinu za kudukua mitandao (Cyber weapons)

Hivi hawa wikileaks ni kina nani hasa
 
Langley wajipange upya hii ndiyo impact ya information age the warefare is unpredictable..
 
Kweli ndiyo maana PhD, professors kwa nchi zetu wanakimbilia siasa ndiyo uone we are running the brain wash education...

It makes us the fools...
 
Hata mchina kwa HUAWEI ni vilevile,hatuna pakuponea.
 
Hilo linajulikana hata KGB au Ml6 kuna majajusi pia wa mataifa mengine ndo maana hawa watu wanajuana in-out.
Mkuu KGB ilishakufa zamaaani maana ilikuwa ni ya Muungano wa Kisovieti! Baada ya hayo kila nchi na yake. Kwa sasa nchi ya Urusi waliibadilisha na kuiita FSB.
Ni kukumbushana tu mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…