Wikileaks diplomatic cables release 'attack on world'

Jamani mbona link zote za wikileaks leo hazifanyi kazi?
 
Wakati ule tukiwa JAMBO FORUM tulikuwa tunaelekea kwenye mrengo huo huo wa weakleaks. JF ilikuwa inaogopewa na serikali. Lakini siku hizi naona tume surrender
 
Wikileaks ni propaganda za wamarekani tu. Kalagabao wandugu!!
 
The noose is tightening. Ila semeni yote kwenye hizi secret cables jamaa wamechemsha big time, kuanika siri na kuanika uozo unaofichwa ni vitu viwili tofauti.
 
Kwani Iran ikiwa na nuclera Saudi watapata hasara gani wote si Waislam na adui yao ni mmoja?

Iran ni Shia, Saudi ni Sunni, big difference when coupled with geopolitics za Marekani hapo.
 
Leo State Department wamebandika Tangazo katika website ya Columbia University Of International and Public Affairs linalosema :

"Do not Discuss Wikileaks on facebook or Twitter,To do so could endanger your job prospects"

Jamaa wanajaribu kila njia kui-attack website ya Wikileaks,suala zima la Wikileaks linawaumiza vichwa watu wa State Department na Pentagon.
 
VIPI leaks za TZ kama zipo zimwageni hapa tuone vigogo wa EPA,madawa ya kulevya na mizee ya vijisenti inavyozungumziwa
 
Sinema bado inaendelea. Sasa inaanza kutisha. Yaani akaunti za madikteta Switzerland poa lakini ngawira za Assange tayari zimekua noma, eti sio raia, khaa!

More Problems for WikiLeaks: Switzerland Cuts Off Founder's Bank Account
By Ben Parr

Switzerland has taken new action against WikiLeaks by shutting down founder Julian Assange's bank account.

PostFinance - which is owned by the Swiss Post, itself a public company owned by the Swiss Confederation - said in a statement earlier today that it has closed Julian Assange's account for failing to provide proof of Swiss citizenship.

Here is PostFinance's statement on its decision:

"Finance has ended its business relationship with WikiLeaks founder Julian Paul Assange. The Australian citizen provided false information regarding his place of residence during the account opening process. Assange entered Geneva as his domicile. Upon inspection, this information was found to be incorrect. Assange cannot provide proof of residence in Switzerland and thus does not meet the criteria for a customer relationship with PostFinance. For this reason, PostFinance is entitled to close his account. If there is any indication that the information provided by an account holder may not comply with the detailed valid provisions, PostFinance investigates the circumstances in detail and draws the appropriate conclusions."

WikiLeaks and its founder have been under constant fire since it released 250,000+ sensitive U.S. diplomatic cables. Assange is wanted by Interpol for sex crimes he allegedly committed during a trip to Sweden earlier this year. The U.S. State Department has taken action against the organization, and several companies including Amazon, PayPal and EveryDNS have banned the site from using their services.

Multiple governments are now targeting the organization. While each action may have been taken for different reasons, the result is an enormous amount of pressure designed to take WikiLeaks down. Despite hundreds of mirrors replicating the site, the organization is definitely in trouble. Whether it will survive or grow stronger than ever after recent events remains to be seen.

Source: Mashable
 
Wanajamvi hii story chini ni defu lakini inaoneysha pamoja na mapungufu aliyonayo Gaddafi anawzidi viongozi wengi wa afrika akili na uzalendo na kujiamini
For summarised leaks nyingine tembelea The US embassy cables | World news | guardian.co.uk
 
Two faces of USA sababu Saudi arabia ana mafuta wana deal naye softly lakini ingekuwa ni pakistan au Afghanistan mhhhhh.

Je tanzania Foreign policy yetu ikoje
 
Kinachonifurahisha kwenye hizi diplomatic cables and info. ni kwamba hakuna anayepinga kuwa si kweli. Sasa sikilizia ingekuwa bongo akina Makamba, Chiligati hata muungwana mwenyewe wangekuwa tayari wameshakurupuka kusema ni UONGO NA UZUSHI MTUPU. Na immediately personal attacks kwa ASANGE zingeanza. These dudes should b learning something here!!!!!
 
Wakati ule tukiwa JAMBO FORUM tulikuwa tunaelekea kwenye mrengo huo huo wa weakleaks. JF ilikuwa inaogopewa na serikali. Lakini siku hizi naona tume surrender
cha ajabu the West walitu-support ila cha kushangaza zaidi ndio wao wao wanamkandamiza jamaa! sasa where is our Mtetezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…