Bosi wa wikileaks anasema wako karibu kutoa matoleo mengine yapatayo 15000 ya siri za vita vya Marekani huko Afghanistan.Tayari wako nusu ya safari kuyapitia kabla kuyaanika.
Marekani wanambembeleza asifanye hivyo lakini anasema hiyo ni muhimu kwa usalama wa dunia.
Tuombe Mungu mafisadi wasiifunge JF yetu kuelekea uchaguzi (i mean wasiwafunge mdomo, masikio na mikono akina invisible tusijekosa vitu muhimu hapa ndani)