Below 40 JF-Expert Member Joined Aug 21, 2019 Posts 884 Reaction score 1,739 Dec 5, 2023 #21 DIRIMULAINA said: Itupie hapa hiyo clip mkuu nasi tushuhudie Click to expand... Najaribu kuipandisha inagoma sijui ni nini? Ila kama una Twitter hii hapa View: https://twitter.com/KumbushoDawson/status/1731756571279966357?t=0bcMyYKmcVLaZbwJiWXjkQ&s=19
DIRIMULAINA said: Itupie hapa hiyo clip mkuu nasi tushuhudie Click to expand... Najaribu kuipandisha inagoma sijui ni nini? Ila kama una Twitter hii hapa View: https://twitter.com/KumbushoDawson/status/1731756571279966357?t=0bcMyYKmcVLaZbwJiWXjkQ&s=19
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Dec 5, 2023 #23 The Stress Challengerr said: Kina Lamomy wanavyopenda iPhone watakuwa wameukwaa tu. Click to expand... Hahah unamtafuta dada wa watu...
The Stress Challengerr said: Kina Lamomy wanavyopenda iPhone watakuwa wameukwaa tu. Click to expand... Hahah unamtafuta dada wa watu...
K11 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2014 Posts 3,447 Reaction score 11,274 Dec 5, 2023 #24 Below 40 said: Najaribu kuipandisha inagoma sijui ni nini? Ila kama una Twitter hii hapa View: https://twitter.com/KumbushoDawson/status/1731756571279966357?t=0bcMyYKmcVLaZbwJiWXjkQ&s=19 Click to expand... Bora kuwa raia huru kama mimi nisiyefungamana na upande wowote, haipendezi uko na wenzio wenye nia moja, unahoji vitu halafu wenzako mnaojenga nyumba moja mnaanza kugombea fito. Kama mti mbichi unatendewa hivyo, je mti mkavu itakuwaje?.
Below 40 said: Najaribu kuipandisha inagoma sijui ni nini? Ila kama una Twitter hii hapa View: https://twitter.com/KumbushoDawson/status/1731756571279966357?t=0bcMyYKmcVLaZbwJiWXjkQ&s=19 Click to expand... Bora kuwa raia huru kama mimi nisiyefungamana na upande wowote, haipendezi uko na wenzio wenye nia moja, unahoji vitu halafu wenzako mnaojenga nyumba moja mnaanza kugombea fito. Kama mti mbichi unatendewa hivyo, je mti mkavu itakuwaje?.