wikipedia huu ni utani, ndio eh?

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,752
Reaction score
7,861
jamani ehhh, nimeikuta leo kwenye peku peku zangu za wikipedia jina la 'mchezaji' wa Tanzania anayeichezea Southhall United, Baldeep Syan. Mmeshawahi kumsikia?

Tanzania national football team

...bofya hiyo link hapo chini kama huamini!

source; [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Tanzania_national_football_team"]Tanzania national football team - Wikipedia, the free encyclopedia[/ame]
 
Na utani wenyewe ni kiboko

...hivi nani ana update habari hizi, tuseme jamaa ni hacker au? duh...aisee hii ni kali, acha ibakie hapa hapa kwenye Jokes, ikipelekwa kwenye thread ya siasa, au habari mchanganyiko huenda kuna mtu atapoteza kibarua chake huko serikalini! 😀
 
tehe tehe tehe alafu eti kaichezea stars mechi 87 an kufunga magoli 102!
...na huyu [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Taflit_Rulander"]Taflit Rulander[/ame] mbona siajwahi kumsikia..
 
...hivi nani ana update habari hizi, tuseme jamaa ni hacker au? duh...aisee hii ni kali, acha ibakie hapa hapa kwenye Jokes, ikipelekwa kwenye thread ya siasa, au habari mchanganyiko huenda kuna mtu atapoteza kibarua chake huko serikalini! 😀
Usije shangaa kuona kuwa ana gamba la kijani la TZ
 
Wikipedia is not a good source of information, any Tom, Dick or Harry can upload stuff that can escape the editors' eyes
 
Don't carry any infor from wikipedia kwani hata wewe unaweza kuchange hayo maandishi. wiki ni upuuzi mtupu kwani hakuna restriction katika kupost infor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…