Wadau,
Nimetoka ku-restore Coat of Arms yetu ktk wikipedia ambayo kwa kusikitisha ilikuwa inadisplay coat of Arms ya Rwanda!!! sasa najiuliza hili lilitokea vipi? ama kuna watu wanaotuhujumu kwakuwa sisi hatuko makini na pia kutojali vyakwetu ama ni ule ugonjwa wa aaagh fulani atafanya!
AMANI