RESCUE TANZANIA
Member
- Mar 30, 2012
- 56
- 8
nasikitika kwamba baadhi ya wilaya hazijawapa walimu pesa ya kutosha za kujikimu walimu wapya licha ya kuwapeleka vijijin kusikokuwa na huduma za mhimu. Je wanaanzaje maisha walimu hawa kwa pesa kidogo za siku tatu au nne wakat wanatakiwa kupewa pesa ya siku 7? Je mtu anaweza kuanza maisha kwa 135000 au 195000? Je anaweza pata chakula, godoro, na mahtaj mengne ikiwa n pamoja na kodi ya nyumba, maj tukiondoa umeme kwa xabab cio wote wenye umeme, je mnataka kuharbu hata maisha za dada zetu maana watafanya nn zaid ya kutafuta altenative kama za kutafuta wanaume wa kuwahifadh!!? Je toka tarehe .1 had leo mtu anaweza kuish kwa pesa hzo* kuwen na utu jaman mnadhalilisha taaluma za watu....hebu tushirikkane kuzitaja halmashauri hiz tuzijue +
kwa mujibu wa taarifa za wachangiaj thread hii wilaya hizo n kama ifuatavyo;
SENGEREMA,
NJOMBE,
pia nimepata taarifa toka kwa mdau mwingine kaniambia kuna baadhi ya wilaya za mkoa wa Dodoma zimefanyiwa mchezo huo zikiwemo;
DODOMA MJINI,
KONGWA,
lakini Dodoma mjini wamemaliziwa mapema mwishon mwa wiki jana, ntaendelea kuwapa updates kwa mujibu wa wachangiaj na taarifa zingine