KERO Wilaya ya Chemba (Dodoma) hawataki kupitisha maombi kwenye Mfumo wa ESS

KERO Wilaya ya Chemba (Dodoma) hawataki kupitisha maombi kwenye Mfumo wa ESS

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Tangu Mwaka 2024 umeanza hakuna mtu kapitishiwa ombi lake kwenye Mfumo wa ESS, sasa Watu tunashangaa nini kinaendelea wakati maelekezo ya Waziri ni kuwa kila Mtu apitishiwe maombi halafu Wizara ndio itaamua ila sio Halmashauri.

Tupazie sauti tafadhali✅

Pia soma:
~
Tapeli anapigia Watumishi wa Umma na kuwaambia Taarifa zao Binafsi, anazitoa wapi? Mfumo wa ESS upo salama kweli?
~ Serikali iangalie hii changamoto ya Mfumo wa ESS, kuhusiana na Uhamisho
~ Kwa huu utitiri wa matangazo ya kazi ya kuhamia (Transfer vacancy) ndipo tunaamini mfumo wa ESS haufanyi kazi kabisa
 
Back
Top Bottom